Watu 195 wakutwa na virusi vya corona

0

Watu 195 wamekutwa na virusi vya corona katika muda wa saa Ishirini na nne zilizopita na kufikisha idadi ya maambukizi nchini kuwa 101,534.

Katika taarifa waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema watu 125 wamepona na kufikisha idadi ya waliopona kuwa 84,268.

Watu 3 wameaga kutokana na virusi hivyo na kufikisha idadi ya waliopona kuwa 1,776.

Wagonjwa 401 wamelazwa katika hospitali wengine 1,419 wanapokea matibabu kutoka nyumbani watu 27 wako katika chumba cha hali mahututi.

Msambao katika kaunti ni kama ifuatavyo; Nairobi 140, Kiambu 8, Turukana 6, Machakos 6.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here