Uhuru yuko Marekani kwa ziara rasmi
Rais Uhuru Kenyatta yuko mjini New York, Marekani kwa ziara rasmi ya siku mbili. Rais ameratibiwa kuongoza mkutano wa ngazi […]
Rais Uhuru Kenyatta yuko mjini New York, Marekani kwa ziara rasmi ya siku mbili. Rais ameratibiwa kuongoza mkutano wa ngazi […]
Tume ya uchaguzi na mipaka nchini (IEBC) imemteua Juliana Cherera kuwa naibu mwenyekiti mpya. Mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati […]
Rais Uhuru Kenyatta amemtuma waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiang’i kupeleka ujumbe maalum kwa rais mpya wa Zambia […]
Maafia sita wa Polisi wameshtakiwa kwa mauji ya ndugu wawili wa Kianjokoma wameshtaka kwa mauji. Hata hivyo wamekanusha mashtaka mbele […]
Mahakama imeagiza Polisi SITA waliokamatwa kuhusiana na mauaji ya ndugu wawili wa Kianjokoma kaunti ya Embu wakule kiapo. Jaji Daniel […]
Wabunge wameitwa kwenye kikao maalum Jumatano hii kuidhinisha majina ya makamishna wateule wa tume ya uchaguzi (IEBC). Karani wa bunge […]
Tume ya usawa wa jinsia nchini (NGEC) imeadhimisha miaka kumi tangu kubuniwa kwake kushinikiza kuwepo kwa usawa katika nafasi za […]
Hakuna yeyote anayeruhusiwa kutoa chanjo ya corona mbali na wizara ya afya ameonya waziri Mutahi Kagwe. Huku akitoa wito kwa […]
Msajili wa vyama vya kisiasa Ann Nderitu amedhibitisha kuondoa muungano wa NASA kwenye sajili yao, kumaanisha kuwa muungano haupo tena. […]
Viongozi wa kidini wanamtaka rais Uhuru Kenyatta kupatana na naibu wake William Ruto kwa manufaa ya amani ya taifa hili. […]