Watu 180 wamepatikana na virusi vya corona katika muda muda wa saa Ishirini na nne zilizopita na kufikisha idadi ya maambukizi nchini kuwa 101,339.
Wizara ya imesema watu 83 wamepona na kufikisha idadi ya waliopona kuwa 84,143.
Watu 4 wamekufa na kufikisha idadi ya walioaga kuwa 1,773.
Watu 460 wamelazwa katika hospitali wengine 1,432 wanapokea matibabu kutoka nyumbani watu 26 wako katika hali mahututi.
Idadi ya msambao katika kaunti ni ifuatavyo Nairobi 99, Kiambu 33, Nakuru 8, Kajiado 7.