JAJI MAJANJA AOMBOLEZWA

Idara ya mahakama inaomboleza tena kufuatia kifo cha jaji wa mahakama kuu David Amilcar Shikomera Majanja. Jaji Majanja ameaga dunia Usiku wa kuamkia leo akitibiwa...

Wakenya 316 wafariki dunia wakifanya kazi katika mataifa ya mashariki ya kati.

Wakenya 316 wamefariki dunia wakifanya kazi katika mataifa ya mashariki ya kati tangu mwaka wa 2002. Ndizo takwimu za wizara ya masuala ya kigeni kama...

Rais Ruto atia saini kuwa sheria mswada wa marekebisho ya IEBC

Rais William Ruto ametia saini kuwa sharia mswada wa marekebisho ya tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC wa mwaka wa 2024. Mswada huo...

USHAHIDI DHIDI YA MACKENZI WAWASILISHWA MAHAKAMANI

Mahakama ya Shanzu mjini Malindi imefahamishwa jinsi mchungaji mwenye utata Paul Mackenzie alivyoendesha kundi la liuhalifu lililosababisha maafa ya watu angalau 400 kwenye msitu...

SERIKALI YASUKUMA AJENDA YA ODINGA KUWA MWENYEKITI WA AUC

Kamati ya kampeni ya kinara wa Azimio Raila Odinga ya kuwania uwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika inatarajiwa kuzinduliwa rasmi wiki hii. Kamati hiyo...

Safari ya Marekani iligharimu shilingi milioni kumi pekee rais Ruto asema

Kwa mara nyingine rais William Ruto ametetea gharama ya safari yake nchini Marekani juma lililopita baada ya kudaiwa kuwa ya juu zaidi. Katika hotuba yake...
NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGUA AKIIHUTUBIA HADHARA

CHAMA CHA TND CHAKANA KUNUNULIWA NA GACHAGUA

Kiongozi wa chama cha The New Democrats Thuo Mathenge amesema kuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua hajachukua uongozi wa chama hicho kama ilivyoripotiwa katika vyombo...

“WACHENI SIASA ZA MAPEMA” MALALA AFOKEA MAWAZIRI NA WABUNGE

Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala ameshtumu mawaziri Moses Kuria (Utumishi wa Umma) na Kipchumba Murkomen (Uchukuzi) kwa kujihusisha na siasa. Malala ametaka wawili hao...
SHADRACK MITTY

MWANAHABARI MWINGINE MASHUHURI AAGA DUNIA

Sekta ya Uanahabari humu nchini imegubikwa tena na majonzi kufuatia kuaga kwa ripota wa Shirika la Standard Shadrack Miti. Miti anaripotiwa kuugua kwa...
RUTO AKUTANA NA BIDEN

MINOFU ALIYOTOKA NAYO RAIS WILLIAM RUTO MAREKANI

Ziara ya Rais Wiliiam Ruto inapotarajiwa kukamilika hii leo je na matunda zipi zilizovunwa na Kenya katika ziara hio ya siku tano? Kenya imetia saini...