Biblia Husema Broadcasting
Biblia Husema Broadcasting
Nairobi 96.7 | Eldoret 96.3 | Nakuru 102.9 | Kisumu 101.5 | Lokichogio 102.5 | Voi 105.3 | Kakuma 90.4 | Marsabit 91.1

Biblia Husema Broadcasting

Faith comes by Hearing, And Hearing by the word of God, Romans 10:17.

Who we are

Biblia Husema Radio is one of leading Christian Radio station in Kenya. By God's grace and support from partners we have achieved a great coverage contrywide and worlwide through our online live stream. Recently we have acquired two frequencies in kenya remote and greatly unreached area Marsabit and Kakuma. We are continually growing thanks to the support and Prayers of both our listeners and partners. Continue supporting us even as we reach the unreached.

Our Partners

These are our partners

Habari

Habari kutoka nchini na za kimataifa.

TUPE MUELEKEO DHABITI AU UFYATE MDOMO WANDANI WA ODINGA WAMWAMBIA

Baadhi ya wandani wa Kinara wa Azimio One Kenya Raila Odinga sasa wametangaza kutambua uhalali wa ushindi wa Rais William […]

‘Wakenya Hawataki Maandamano’ Ruto Amwambia Odinga.

Rais William Ruto amepinga hatua ya Kinara wa Upinzani Raila Odinga yakuandaa maandamano kupinga kubanduliwa afisini kwa makamishana wanne wa […]

FIFA YAONDOA MARUFUKU DHIDI YA KENYA

Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA limeondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya taifa la Kenya mwezi wa Februri mwaka huu. FIFA Kupitia […]

Mitihani ya KCPE na KPSEA Yangoa Nanga.

Mitihani ya kitaifa ya darasa la nane KCPE na gredi ya sita KPSEA imeanza rasmi hii leo kote nchini. Hii […]