Usajili wa makurutu kujiunga na Polisi waendelea kote nchini

0

Zoezi la kuwasajili makurutu wapatao 5,000 wa Polisi linaendelea katika maeneo mbalimbali kote nchini.

Makurutu 4,700 watajiunga na Polisi wa Utawala (AP) kwenye zoezi hilo ambalo mara ya mwisho lilifanyika ilikuwa ni miaka mitatu iliyopita.

Inspekta mkuu wa Polisi Hillary Mutyambai anasema watakaosajiliwa watahudumu katika kipindi cha miaka kumi.

Tume ya kumulika utendakazi wa Polisi IPOA imesema inafuatilia zoezi hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here