Ruto kuwa na mgombea kwenye uchaguzi wa useneta Machakos

0

Wawaniaji mbalimbali katika kiti cha Useneta kaunti ya Machakos wameelewana kuwa watamuunga mkono Urbanus Mutunga Ngengele baada ya kushawishiwa na naibu rais William Ruto.

Haya yamebainika kwenye mkutano uliofanyika katika afisi za Ruto mtaani Karen na kuhudhuriwa viongozi kutoka kaunti ya Machakos wakiongozwa na aliyekuwa seneta wa Machakos Johnson Muthama.

Haya yanajiri siku moja baada ya chama cha Jubilee kutangaza kuwa hakitakuwa na muwnaiaji kwenye uchaguzi huo mdogo huku chama cha Wiper kikimpa tiketi aliyekuwa mkewe Muthama, Agnes Kavindu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here