Chuo kikuu cha Dedan Kimathi chafungwa baada ya mgomo

0

Chuo kikuu cha Dedan Kimathi huko Nyeri kimefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kuandamana kulalamikia kuongezwa kwa karo.

Naibu chansela wa chuo hicho Ndirangu Kioni amewaagiza wanafunzi kuondoka mara moja chuoni humo kuanzia leo Julai 15.

Yanajiri haya siku moja baada ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi kuandamana kupinga hatua hiyo ya kuongezwa kwa karo bila kuhusishwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here