UJENZI WA BARABARA YA ISIOLO-MANDERA KUSHIKA KASI

0

Ujenzi wa barabara ya kilomita 750 ya Isiolo-Mandera kwa gharama ya shilingi bilioni 100 hatimaye unaendelea baada ya kukwama kwa muda.

Naibu Rais Kithure Kindiki amesema kuwa ya ujenzi wa barabara hiyo inayounganoisha miji ya Isiolo- Kula Mawe- Modogashe- Samatar- Wajir- Tarbaj-Kotulo- Kobo- Elwak- Garre- Rhamu – Mandera imezawadiwa wanakandarasi wasaba ili kuhakikisha unakamilika kwa muda wa miaka miwili.

Kindiki ambaye amekagua sehemu ya ujenzi huo wa Kula Mawe-Isiolo, ametaja uchukuzi sasa utaimarika katika eneo hilo la Kaskazini pamoja na utovu wa usalama kuzikwa kwenye kaburi la sahau.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here