Nairobi ni miongoni mwa Kaunti zilizo na Maendeleo Chanya Nchini

0

Ripoti ya mkaguzi wa Bajeti imebainisha kwamba kaunti 23 miongoni mwa zote 47 hazikutimiza lengo la kutekeleza miradi ya maendeleo.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, angalau asilimia 30 kwenye mwaka wa kifedha 2024/25 badala yake kaunti hizo zilitumia kiasi kikubwa cha fedha katika ziara za nje ya nchi

Kaunti ya Nairobi inaongoza katika orodha ya kaunti zilizotumia kiasi kikubwa cha fedha kwenye safari za nje huku ikitumia kima cha shilingi milioni 800 kwenye safari hizo na kutumia asilimia 12 pekee katika maendeleo

Imefuatiwa na kaunti ya Machakos ambayo imetumia asilimia 16, Kisumu 17%, Kiambu na Kajiado 18%, huku Nyamira ikitumia asilimia 19% pekee katika maendeleo

Kuanti hizi zilizotumia kiwango kidogo cha fedha kwa maendeleo ndizo zilizoongoza katika safari za nje

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here