Msichana,16, ajinyonga Kisii

0

Msichana,16, amejiua katika kaunti ya Kisii baada ya wazazi wake kukataa uhusiano wake wa kimapenzi na mvulana, 21.

Inadaiwa kuwa msichana huyo alikunywa sumu katika kijiji cha Mwamokoro, kata ya Boige eneo bunge la Mugirango Kusini baada ya mamake kumgombanisha alipomkuta na mpenziwe ambaye ni mhudumu wa boda boda.

Chifu wa eneo hilo Isaac Obara anasema wazazi wa msichana huyo walikuwa wamemkanya mwanao dhidi ya kuendelea na uhusiano huo na hata wakapiga ripoti kwa afisi yake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here