Hukumu dhidi ya washukiwa waliopanga shambulizi la Westgate yahairishwa tena

0

Hukumu dhidi ya washukiwa watatu wanaotuhumiwa kupanga na kutekeleza shambulizi katika jumba la kibiashara la Westgate jijini Nairobi mwaka 2013 umehairishwa tena kwa mara nyingine.

Hakimu wa mahakama ya Milimani Francis Andayi amehairisha hukumu hiyo iliyokuwa itolewe Jumatatu hadi Jumanne kwa misingi kwamba uamuzi huo haikuwa tayari.

Itakumbukwa kwamba takriban watu 67 waliuawa wakati wa shumbulizi hilo ambapo kundi la kigaidi la AlQaeda lilikiri kuhusika nalo.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here