Yuko wapi Mwenda Mbijiwe?

0

Yuko wapi Mwenda Mbijiwe?

Ndilo swali wanaloendelea kuuliza wapendwa wa mtalaamu huyo wa maswala ya usalama aliyotoweka mwezi mmoja uliopita.

Familia hiyo imetishia kuelekea mahakamani kuomba serikali kulazimishwa kuharakisha shughuli ya kumtafuta Mbijiwe baada ya kuonekana kwamba kuna uzembe.

Familia hiyo inayosema haijasikia kutoka kwa Mbijiwe kuanzia Juni 12 imetishia kuongoza maandamano kufunga barabara kushinikiza maafisa wa usalama kumtafuta aliko mpendwa wao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here