Watu 366 zaidi wamepatwa na virusi vya corona baada ya sampuli 3,664 kupimwa, na kufikisha idadi ya maambukizi nchini kuwa 151, 653.
Watu 18 zaidi wamefariki, na kufikisha idadi ya maafa nchini yaliyotokana na virusi hivyo kuwa 2,481.
Watu 280 wamepona baada ya kudibitishwa kuugua virusi hivyo na kufikisha idadi ya waliopona nchini kuwa 101,642.