Vigogo wa NASA waungana kwenye kampeini za Kabuchai

0

Vigogo wa muungano wa NASA wameungana pamoja katika kumpigia debe Karasinga Majimbo ambaye ni muwaniaji wa kiti cha ubunge cha Kabuchai kupitia chama cha Ford Kenya.

Musalia Mudavadi wa Amani National Congresss (ANC), Moses Wetangula wa FORD K, Kalonzo Musyoka wa Wiper pamoja na Gideon Moi wa chama cha KANU wamesisitiza kuwa wanataka muungano mmoja wa amani ili kuwe na taifa lenye umoja.

Kiti hicho cha Kabuchai kilisalia wazi kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge James Lusweti.

Uchaguzi huo mdogo utafanyika tarehe 14 mwezi ujao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here