Msajili mpya wa vyama vya kisiasa aapishwa
John Cox Lorionokou ameapishwa rasmi Jumatatu tarehe 13 Oktoba 2025 kuwa msajili mpya wa vyama vya kisiasa.
Cox aliyeteuliwa na rais William Ruto mapema mwezi...
Dereva wa mbunge apatikana na hatia ya kuvunja sheria za trafiki
Mahakama imemtoza faini ya shilingi laki moja dereva wa mbunge wa Kibra Peter Orero, George Oduor kwa kosa la kukiuka sheria za trafiki.
Hii ni...
Serikali Imekuwa Ikikopa Shilingi bilioni 5.9 kila wiki Ripoti Yafichua.
Serikali imekuwa ikikopa wastani wa shilingi bilioni 5.9 kila wiki kwa kipindi cha miezi minne iliyopita.
Hii ni kulingana na takwimu mpya iliyotolewa na hazina...
Abdullahi ahifadhi uwenyekiti wa baraza la magavana
Gavana wa Wajir Ahmed Abdullahi amechaguliwa kuhudumu kwa kipindi cha pili akiwa mwenyekiti wa baraza la magavana nchini (COG).
Katika uchaguzi wa viongozi wa kamati...
Odhiambo ajiondoa kwenye jopo la kuangazia fidia kwa waathiriwa wa maandamano
Rais Wa chama cha wanasheria nchini (LSK) Faith Odhiambo amejiuzulu kwenye jopokazi lililobuniwa kutadhmini na kupendekeza fidia kwa waathiriwa wa maandamano nchini.
Kujiuzulu kwa Odhiambo...
Mahakama yatia breki usajili wa polisi
Mahakama ya Uajiri na Leba imesitisha zoezi la usajili wa makurutu kujiunga na vikosi vya polisi kutokana na kesi iliyowasilsihwa dhidi yake.
Katika kesi hiyo...
Talaam anyimwa dhamana katika kesi ya mauaji ya Ojwang’
Mahakama kuu imedinda kumpa dhamana aliyekuwa mkuu wa kituo cha polisi cha Central Jijini Nairobi Samson Talaam kuhusiana na mauaji ya mwalimu na mwanablogu...
Rais Ruto asifia mpango wa Uhuru wa Linda Mama
Rais William Ruto ameutetea mpango wa afya wa Linda Mama chini ya uongozi wa mtangulizi wake rais mstaafu Uhuru Kenyatta kama ulioweka msingi wa...
Nairobi yalalamikia kubaguliwa kwa usajili wa makurutu wa KDF
Wabunge kutoka kaunti ya Nairobi wameeleza kutoridhishwa na mpangilio wa usajili wa mwaka 2025 wa makurutu kujiunga na vikosi vya jeshi ulioratibiwa kuanza mwezi...
RAIA WATANO WA SUDAN WAKAMATWA KWA KIFO CHA KUTATANISHA CHA ‘MAMA FUA’ HUKO KILIMANI
Watu watano wenye asili ya taifa la Sudan wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kilimani hapa jijini Nairobi baada ya kukamatwa kufuatia kifo cha...