WATU 20 KUSHTAKIWA KUHUSIANA NA SHAMBULIZI LA PARIS

0

Waendesha wa mashtaka nchini Ufaransa wameidhinisha kufunguliwa kwa mashtaka kwa watu 20 kuhusiana na mashambulizi ya Novemba 25 mjini Paris yaliyohusishwa na kundi la kigaidi la Islamic State (IS).

Washukiwa hao wameshtakiwa na makosa yanayohusiana na ugaidi na kupanga mashambulizi ya mabomu.

Waendesha wa mashtaka vile vile, washukiwa hao wanatuhumiwa kwa kusaidia ou kufadhili mashambulizi hayo sawa na kuwasaidia wahusika kutoroka.

Salah Abdeslam, mshukiwa wa kipekee aliyeponea shambulizi hilo ni miongoni mwa watu hao watakaoshtakiwa.

Takriban watu 130 waliuawa na mamia ya wengine kujeruhiwa kwenye shambulizi hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here