Uhuru aelezea kilichomfukuza Twitter

0

Nilitoroka kwenye mtandao wa Twitter kwa sababu ya matusi amesema rais Uhuru Kenyatta.

Kwa mujibu wa rais, matusi aliyokuwa anapokea yaliyomnyima usingizi na ndiyo sababu kuu iliyomfanya kuondoa akaunti yake ili awe na amani ya kulihudumia taifa.

Rais Kenyatta mwaka jana alijiondoa kwenye mitandao yake ya kijamii ikiwemo Facebook na Twitter huku sababu kamili za kufanya hivyo zikikosa kutolewa.

Tangu wakati huo, taarifa za rais zinatolewa na mitandao rasmi ya Ikulu ya rais ya Facebook na Twitter.  

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here