Siku ya walimu kuadhimishwa leo

0

Kenya hii leo inajiunga na Ulimwengu kuadhimisha siku ya walimu duniani.

Siku hii ilianzishwa mwaka 1994 kuangazia changamoto zinazowakumba walimu kote Ulimwenguni.

Maadhimisho ya mwaka huu ni tofauti kwani yanawadia wakati ambapo kalenda ya masomo imesambaratishwa na janga la corona.

Humu nchini Kenya, hii ni wiki ya pili sasa walimu wako shuleni bila wanafunzi baada ya shule kufungwa Mwezi Machi kuzuia maambukizi ya corona.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here