Serikali yakana inapanga kuongeza karo ya vyuo vikuu (Audio)

0

Serikali imekanusha ripoti kuwa ina mipango ya kuongeze karo ya vyuo vikuu kutoka shilingi elfu 16,000 hadi shilingi 48,000.

Katibu mkuu wa wizara ya elimu Zack Kinuthia amewahakikishia wanafunzi kuwa serikali haitakubali kuongezwa karo na chuo ambacho kitadhubutu kufanya hivyo kitachukuliwa hatua.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here