Rais Kenyatta ataka madeni ya Afrika yafutwe

0

Rais Uhuru Kenyatta anapendekeza kufutwa kwa madeni ambayo mataifa ya Afrika yanadaiwa kutokana na janga la COVID19.

Rais Kenyatta amesema hii ni miongoni mwa mikakati ambayo mataifa ya bara ulaya na Afrika yanapaswa kuafiakana katika kupambana na janga hilo la kimataifa.

Rais amesema haya kwenye mkutano unaolenga kuhakikisha kuwa kunakuwepo na ushirikiano baina ya mataifa ya ulaya na Afrika ili kuafikia maendeleo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here