Polisi watakaoshindwa kutumia OB mpya kuchujwa

0

Maafisa wa Polisi watakoshindwa kuhamia katika mfumo wa kisasa katika kuripoti visa kwenye vituo vya Polisi maarufu OB baada ya mafunzo watafutwa kazi.

Ndilo onyo linalotolewa na waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiang’i ambaye anasema watakaoshindwa kuzingatia mafunzo watakaopewa kuhusu mfumo huo chini ya miezi kumi na minane ijayo hawatakuwa na budi ili kuondolewa kwenye huduma ya Polisi.

Waziri Matiang’i amesema haya wakati wa uzinduzi wa mfumo huo anaosema unalenga kuimarisha shughuli ya kuwahudumia wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here