Polisi muuaji kuzuiliwa zaidi

0

Nancy Njeri, Polisi wa kike kutoka Makueni anayedaiwa kumjeruhi wakili Onesmus Masaku kwa kumkata mikono na kusababisha kifo chake atazuiliwa korokoroni kwa siku 19 zaidi.

Mahakama kuu ya Machakos imeruhusu mshukiwa kufanyiwa uchunguzi wa kiakili na kufanyiwa vipimo vya corona kabla ya kusomewa mashtaka.

Njeri anatazamiwa kushtakiwa Novemba 10 huku Masaku akitazamiwa kuzikwa kesho Jumamosi.

Marehemu atapewa buriani katika kijiji cha Ngonda eneo la Tala kaunti ya Machakos.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here