Owalo ajiunga na kambi ya ‘husler’

0

Aliyekuwa muwaniaji wa kiti cha bunge Kibra kwa tiketi ya chama cha Amani National Congress (ANC) Eliud Owalo amejiunga na kambi ya wana Husler inayoongozwa rais William Ruto.

Owalo amepokelewa na Ruto nyumbani kwake Karen alijiuzulu katika chama cha ANC kinachoongozwa na Musalia Mudavadi ili kumpa nafasi ya kujiandaa kuwania urais mwaka 2022.

Mwanasiasa huyo amesema amejiunga na kambi ya Ruto kwa sababu taifa hili kwa sasa linahitaji viongozi walio na uwezo wa kufanya maamuzi kwa manufaa ya mwananchi wa kawaida

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here