SERIKALI YAKASHIFIWA KWA KUPANDA KWA BEI ZA MAFUTA

Wakili Willis Otieno amekosoa utawala wa Kenya Kwanza kwa kile alichokitaja kama ukimya na ulaghai wa kisaikolojia kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta hivi...

NYS YAKANA KUHUSIKA NA VURUGU ZA SABASABA

Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) imepuuzilia mbali madai kwamba mabasi yake yalitumiwa kuwasafirisha watu walioripotiwa kuhusika katika visa vya uhalifu wakati wa maandamano...

MAANDAMANO YAFAA YAWE NI YA AMANI, SPIKA WETANGULA ASEMA

Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetang’ula, ameonyesha matumaini kwamba maandamano yaliyopangwa kufanyika Juni 25, kwa ajili ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu maandamano ya...

MWANAMKE ASHTAKIWA KWA ULAGHAI WA ARDHI

Mwanamke anayedaiwa kujipatia ardhi inayomilikiwa na kampuni ya kibinafsi kwa njia ya ulaghai, alifikishwa kwenye mahakama ya Milimani. Margaret Wairimu Magugu, alishtakiwa kwa makosa kadhaa...

MAHAKAMA YAHARAMISHA HAJA YA WANAUME WAJANE KUTHIHIRISHA KUTEGEMEA WAKE WAO

Mahakama Kuu imetangaza Kifungu cha 29(c) cha Sheria ya urithi kuwa kinyume na katiba, ikitaja ubaguzi wa kijinsia dhidi ya wajane kina baba. Jaji Lawrence...

WAWANIAJI WA NYADHIFA ZA NPSC KUHOJIWA JULAI 2025

Watu wanane wameorodheshwa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Huduma ya Polisi (NPSC) na kuhojiwa kati ya Julai 1 na Julai...

Mahakama yawazuilia polisi wanaoshutumiwa kumpiga risasi mchuuzi

Mahakama imeagiza maafisa wawili wa polisi wanaotuhumiwa kwa kumfyatulia risasi mchuuzi wa barakoa Boniface Mwangi Kariuki wakati wa maandamano ya Jumanne, tarehe 17 Juni...

MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA HIV YAONGEZEKA NCHINI

Maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi nchini yameanza kuongezeka tena, hasa miongoni mwa vijana, huku juhudi za kupunguza maambukizi hayo katika kipindi cha miaka...

SPIKA WA BUNGE LA ISIOLO AJIUZULU

Spika wa Bunge la Kaunti ya Isiolo, Mohamed Roba, amejiuzulu, wakati ambapo bunge hilo linakumbwa na mvutano mkali wa kisiasa kuhusu hoja ya kumng’atua...

Ni sharti vituo vya polisi kuwa na kamera – Murkomen

Vituo vyote vya polisi nchini vitawekwa kamera za siri (CCTV) katika muda wa miaka miwili ijayo ili kuboresha uwazi na uwajibikaji. Hili ni agizo la...