GACHAGUA AKITOKA BUNGENI BAADA YA KUWASILISHA UTETEIZ WAKE DHIDI YA MSWAADA WA KUMTUMA NYUMBANI

UJUMBE WA GACHAGUA BAADA YA KUONDOLEWA AFISINI

Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amezungumza kwa mara ya kwanza kufuatia kutimuliwa kwake afisini na Bunge la kitaifa. Naibu wa Rais ameweka...

MAJAJI WAFIDIWA MILIONI SH126 KWA KUKATALIWA NA UHURU

Majaji sita ambao rais mstaafu Uhuru Kenyatta alikosa kuwateua wamepewa fidia ya shilingi milioni mia moja ishirini na sita. Majaji Joel Ngugi, George Odunga, Aggrey...
Spika Moses Wetangula na Naibu wa Rais Rigathi Gachagua

WETANGULA AKASHIFU GACHAGUA KWA KUJADILI HOJA DHIDI YAKE KWENYE UMAA

Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Masikha Wetangula amekashifu hatua ya Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kwa kujadili hoja ya kumtimua afisini katika kikao...

BARAZA LA MAGAVANA LAPATA MWENYEKITI MPYA

Gavana wa kaunti ya Wajir Ahmed Abdullahi Jiir ndiye mwenyekiti mpya wa baraza la magavana (CoG) Abdullahi amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa baraza hilo baada ya...
RIGATHI GACHAGUA

JARIBIO LA KUZUIA WABUNGE KUSKILIZA HOJA DHIDI YA GACHAGUA YAKOSA KUFUA DAFU

Mahakama kuu kwa mara nyingine imekataa kutoa amri ya kusitisha hoja ya kumuondoa afisini Naibu Rais Rigathi Gachagua. Kesi hiyo imetajwa asubuhi ya...
city-morturary

“TAMBUENI MIILI YA WAPENDWA WENU KABLA HATUJAYATUPA” KAUNTI YA NAIROBI YAHIMIZA

Kaunti ya Nairobi imetoa wito kwa umma kutambua miili ya watu 107 ambayo haijadaiwa na wapendwa wao katika chumba cha kuhifadhi maiti cha City. Katika...

GACHAGUA KUFIKA BUNGENI MWENYE KUJITETEA

Naibu wa Rais Rigathi Gachagua atafika binafsi katika Bunge la Kitaifa hapo kesho kujitetea dhidi ya madai 11 katika mswaada wa kumuondoa...
Mbunge wa zamani Victor Munyaka

MBUNGE WA ZAMANI VICTOR MUNYAKA AKATAA UTEUZI WA RAIS RUTO

Aliyekuwa Mbunge wa Machakos Mjini Victor Munyaka amedinda uteuzi wa Rais William Ruto kama mwenyekiti wa Kituo cha Rasilimali za Vinasaba Vya Wanyama. Katika...
RHODA LUSAKA, MAMAKE GAVANA KEN LUSAKA

MAMA WA GAVANA KEN LUSAKA AAGA DUNIA

Familia ya Gavana wa Kaunti ya Bungoma Ken Lusaka inaomboleza kufuatia kuangamia kwa Mama ya Gavana huyo. Gavana Lusaka katika taarifa kwa vyombo habari...
NAIBU WA RAIS GACHAGUA RIGATHI AKIOMBA MLIMANI

BUNGE LAONGEZA MUDA WA KUPOKEA MAONI KUHUSU MSWAADA WA KUONDOA GACHAGUA AFISINI

Bunge la Kitaifa limeongeza muda wa zoezi la Ushiriki wa Umma kuhusu hoja ya kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua hadi Jumamosi. Wananchi wanaweza kuwasilisha maoni...