BABA NA MJOMBA WASAKWA KWA KUMDHALIMU MWANAO

Makachero wa idara ya upelelezi (DCI) kaunti ndogo ya Bunyala wanawasaka Edwin Ogolla na Dennis Asabu ambao wanadaiwa kumdhalimu mtoto mmoja kulingana na video...

RAILA , RUTO MJINI ADDIS KUZINDUA KAMPENI ZA ODINGA ZA AUC

Kinara wa upinzani Raila Odinga amefika jijini ADDIS Ababa nchini Ethiopia ambapo anatarajiwa kuzindua rasmi kampeni yake ya Kikanda ya kuwania Uwenyekiti wa...

MASHIRIKA YALALAMIKIA WAGONJWA KUTENGWA KWENYE HUDUMA ZA SHA

  Muungano wa Mashirika yanayopambana na magonjwa yasiyo yakuambukizwa nchini (NCDAK) umelalamikia jinsi mfumo mpya wa Bima ya afya (SHIF) umewatenga baadhi ya wagonjwa.  Naibu mwenyekiti...

MKENYA MOMANYI AIBUKA NA USHINDI KATIKA BUNGE LA WAWAKILISHI

Mmarekani mzaliwa wa Kenya Huldah Momanyi ameandikisha historia kwa kushinda kiti katika bunge la wawakilishi kwenye jimbo la Minesotta. Momanyi anakuwa mkenya wa...

MENEJA WA WELLS FARGO AYIEKO KUZIKWA JUMAMOSI HII

Meneja wa Rasilimali Nguvu kazi wa Kampuni ya Wells Frago Aliyeuawa Willis Ayieko anatarajiwa kuzikwa Jumamosi wiki hii. Kwa mujibu wa familia,...

TUTANASA WANAODAI KUSAMBAZA MITIHANI MITANDAONI- WAZIRI WA ELIMU AONYA

Waziri wa Elimu Julius Ogamba ametoa onyo kali kwa yeyote anayenuia kuhujumu uadilifu wa mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne (KCSE) mwaka huu....

MSHUKIWA WA MAUAJI YA AFISA WA WELLS FARGO KUENDELEA KUZUILIWA

Bunduki ya kibinafsi iliyokuwa ikimilikiwa na Meneja katika kampuni ya Wells Fargo aliyeuwawa imepatikana. Maafisa wa DCI katika ukanda wa Nyanza aidha wamewakamata...

KUNDI LA TATU LA WANAFUNZI WA GREDI YA SITA LAKAMILISHA MASOMO YA MSINGI

Mtihani wa kitaifa wa gredi ya sita (KPSEA) na (KILEA) kwa watahiniwa wenye ulemavu wa mwaka wa 2024 umekamilika Jumatano baada ya kufanyika kwa...

MASOMO YALEMAZWA KWENYE VYUO VIKUU MGOMO UKINGOA NANGA

Masomo katika vyuo vikuu vyote vya umma kote nchini yamelemazwa baada ya wahadhiri kuanza mgomo wao hii leo. Muungano wa Wahadhiri wa...

GACHAGUA AKIMBILIA MAHAKAMANI KUPINGA KUBINIWA KWA BENCHI INAYOSIKILIZA KESI YAKE

Naibu Rais aliyetimuliwa Rigathi Gachagua amekata rufaa dhidi ya uamuzi Kuwa Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu hakukiuka katiba kwa kubuni jopo la majaji...