RUTO IN CONGO

USHIRIKIANO WA KENYA, JAMHURI YA CONGO, JAMHURI YA AFRIKA YA KATI UTAIMARISHA USALAMA, BIASHARA

Kenya, Jamhuri ya Congo na Jamhuri ya Afrika ya Kati zitaungana katika vita dhidi ya ugaidi na ukosefu wa usalama...
Read More

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI UTEUZI WA MAKATIBU WANDAAMIZI 50

Ni pigo kwa makatibu waandamizi 50 walioteuliwa na Rais William Ruto miezi michache iliyopita baada ya mahakama ya upeo kutoa...
Read More

PSC YAORODHESHA MAJINA YA WAGOMBEA WA MWENYEKITI WA BODI YA CBK

Tume ya Utumishi wa Umma PSC imeorodhesha majina ya watu sita watakaopigwa msasa kujaza nafasi ya mwenyekiti wa Bodi ya...
Read More
CHERARGEI

MAJAJI WAMEKUWA WAHUNI ADAI CHERARGEI

Seneta wa Nandi Samson Cherargei ameikosoa Mahakama Kuu kuhusu uamuzi wa kuharamisha uteuzi wa Makatibu Waandamizi 50. Benchi la majaji...
Read More
RUTO WITH ALL CAS's

ITUMBI, OMANGA , KIDERO NA WENGINE ROHO MKONO WAKITARAJIA UAMUZI WA MAHAKAMA

Mahakama imehairisha kutolewa kwa uamuzi wa kesi ya kupinga kuteuliwa kwa makatibu waandamazi wa serikali ya kenya kwanza. Kesi hio...
Read More