Mbunge Moses Kuria apatwa na corona

0

Kwa takribani mwezi mmoja sasa, mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria amekuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Karen baada ya kupatwa na virusi vya corona.

Kupitia kwa ukurasa wake wa Facebook, Kuria anasema amekuwa akipokea matibabu katika hospitali hiyo kwa muda wa siku 27 sasa.

Kuria amewaambia wakenya kuwa virusi vya corona ni kweli na kuwataka kufuata taratibu zilizotolewa ili wasiambukizwe.

Mbunge huyo ameelezea kazi ngumu ambayo wahudumu wa afya wanafanya kulinda maisha ya wakenya wanaopatwa na virusi hivyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here