Maandamano ya kumpinga Ruto yafanyika Kisii

0

Maandamano yameshuhudiwa mjini Kisii huku naibu rais Wiliam Ruto akitazamiwa kuzuru kaunti hiyo.

Inaarifiwa kuwa baadhi ya wanaoshiriki kwenye maandamano hayo ni wanaounga mkono handsheki baina ya rais Uhuru Kenyatta na Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga.

Polisi wamelazimika kutoa vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji hao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here