Kesi ya Obado yahairishwa

0

Kesi ya ufisadi dhidi ya gavana wa Migori Zachary Okoth Obado imekosa kuendelea Jumatatu.

Kesi hiyo inayohusiana na ufujaji wa Sh73.4M imekosa kuendelea baada ya mahakama kufahamishwa kwamba mawakili wa Obado hawajachukua stakabadhi muhimu kutoka kwa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC.

Hakimu mkuu wa mahakama ya Milimani Lawrence Mugambi ameratibu kesi hiyo kusikiliza Octoba 7.

Gavana Obado aliyeshtakiwa pamoja na watoto wake aliachiliwa kwa dhamana ya Sh8.7M pesa taslimu huku akizuiliwa kuingia afisini hadi kesi hiyo iamuliwe.

Wakati uo huo

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here