Kenya yapiga marufuku safari za ndege kuingia na kutoka nchini Somalia

Kenya yapiga marufuku safari za ndege kuingia na kutoka nchini Somalia

Kenya imepiga marufuku safari za ndege kuingia na kutoka nchini Somalia. Katika taarifa, mamlaka ya safari za angani KCAA imesema ...
Bunge la Senate lapitisha mswada wa BBI

Bunge la Senate lapitisha mswada wa BBI

Bunge la Senate limepiga kura ya kupitisha mswada wa marekebisho ya katiba kupitia mchakato wa BBI. Maseneta hamsini na mbili ...
Isaac Mwaura apoteza kiti chake cha Useneta

Isaac Mwaura apoteza kiti chake cha Useneta

Seneta mteule Isaac Mwaura amepoteza kiti cha baada ya kufukuzwa na chama tawala cha Jubilee. Spika wa bunge la Senate ...

Mutyambai awahakikishia wakaazi wa Kapedo usalama wao

Inspekta mkuu wa polisi Hillary Mutyambai amewahakikishia wakaazi wa eneo la Kapedo kuwa wanafanya kila wawezalo kupata suluhu la kudumu ...
Madereva wa teksi za mtandao wagoma

Madereva wa teksi za mtandao wagoma

Madereva wanaowapata wateja wao kwa njia ya mtandao katika miji ya Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru na Naivasha wamesusia kampuni za ...