Sammy Leshore kuchukua nafasi ya Isaac Mwaura

Sammy Leshore kuchukua nafasi ya Isaac Mwaura

Aliyekuwa seneta wa Samburu Sammy Leshore ameteuliwa kuchukua wadhifa wa Isaac Mwaura aliyefurushwa na chama cha Jubilee. Kwenye gazeti rasmi ...
Senate yachunguza kuondolewa kwa gavana wa Wajir Mohamed Mohamud

Senate yachunguza kuondolewa kwa gavana wa Wajir Mohamed Mohamud

Kamati ya maseneta 11 iliyobuniwa kubaini hatma ya gavana wa Wajir Mohamed Mohamud Abdi inaanza vikao vyake leo. Bunge la ...
Uteuzi wa Dorothy Jemator katika jopo la IEBC wabatilishwa

Uteuzi wa Dorothy Jemator katika jopo la IEBC wabatilishwa

Mahakama kuu imebatilisha uteuzi wa Dorothy Jemator kuwa mwakilishi wa chama cha mawakili (LSK) kwenye jopo la kuwatafuta makamishna wapya ...
Seneta mteule Isaac Mwaura apata afueni ya muda mahakamani

Seneta mteule Isaac Mwaura apata afueni ya muda mahakamani

Seneta mteule Isaac Mwaura amepata afueni ya muda baada ya mahakama kuzuia kufurushwa kwake na chama cha Jubilee hadi kesi ...
Maambukizi ya corona Kenya yazidi kupungua

Maambukizi ya corona Kenya yazidi kupungua

Idadi ya maambukizi ya corona inazidi kupungua nchini huku visa 356 vikidhibitishwa kati ya sampuli 4,424 zilizopimwa katika muda wa ...