Kenya yanyakua mkopo mwingine kutoka kwa Benki ya Dunia
Benki ya Dunia imeipatia Kenya mkopo wa Sh80.9b kutumia katika maswala mbalimabli yenye umuhimu. Katika taarifa World Bank imesema pesa […]
Romans 10:17
Benki ya Dunia imeipatia Kenya mkopo wa Sh80.9b kutumia katika maswala mbalimabli yenye umuhimu. Katika taarifa World Bank imesema pesa […]
Tume ya uchaguzi IEBC siku ya Jumatatu inatazamiwa kuzindua wiki ya kutoa mafunzo kwa umma kuhusu mchakato wa uchaguzi. Mwenyekiti […]
Mochari za kaunti ya Kisumu zimepewa muda wa saa 48 kuondoa au kuzika miili yote waliyohifadhi la sivyo wanyanganywe leseni […]
Jane Muthoni aliyepatikana na hatia ya kumuuaa mumewe miaka minne iliyopita amehukumwa kifungo cha miaka thelathini gerezani. Katika hukumu hiyo […]
Meneja wa kampuni moja ya kutoa mikopo kwa njia ya simu anakadiria hasara baada ya kutapeliwa shillingi million tisa na […]
Kenya hii leo imejiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya kupinga matumizi ya tumbaku. Lengo kuu la maadhimisho haya ni wito […]
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amewasili humu nchini kwa ziara rasmi ya siku mbili. Ndege iliyombeba Rais huyo na ujumbe […]
Chama cha Peoples Empowerment PEP kinachoongozwa na mbunge wa Gatundu Kusii Moses Kuria kimejiondoa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi mdogo eneobunge […]
Baba, mama na mwanao wa kiume wanatazamiwa kufikishwa mahakamani hii leo kwa tuhuma za kumuua binti yao mwenye umri wa […]
Mwanamke wa miaka 25 katika kaunti ya Kisii anatazamiwa kufikishwa mahakamani hii leo kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa […]