Hotuba ya rais Uhuru Kenyatta kwa taifa

0

HOTUBA YA 11 YA RAIS UHURU KENYATTA

Kafyuu ambayo imekuwepo kuanzia saa tatu usiku hadi saa kumi asubuhi kuzuia maambukizi vya virusi vya corona itasalia katika muda wa siku 30 zaidi.

-Marufuku kwa uagizaji na uuzaji wa bidhaa za mitumba imeondolewa na mwongozo utakaofuatwa utatolewa kesho Alhamisi.

-Idadi ya watu watakaoruhusiwa kuhudhuria matanga na harusi imeongezwa kutoka 15 hadi 100.

-Mabaa na vilabu itasalia kufungwa kwa siku 30 zaidi.

-Muda wa kufunga mikahawa umeongezwa kwa saa moja zaidi na sasa maeneo hayo ya mlo yatahudumu hadi saa mbili usiku.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here