CORONAVIRUS: NIGERIA YAWEKA MARUFUKU

0

*Nigeria imewawekea marufuku raia wa mataifa 13 kuinga nchini humo  ikiwemo Marekani na Uingereza huku ikitangaza maambukiza mapya matano ya vurusi vya corona.

Marufuku hiyo itawaathii raia kutoka mataifa ambayo yameripoti visa 1, 000 vya corona ikiwemo China, Italia, Korea Kusini, Uhispania, Japan, Ufaransa, Ujeromani, Marekani, Norway, Uingereza, Uholanzi na Switzerland.

Taarifa hii imetolewa na kituo cha kitaifa cha kuthibiti magonjwa kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Marufuku hiyo inatazamiwa kutekelezwa kuanzia hapo kesho Machi 20 kwa muda usiojulikana.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here