Kesi ya ndugu wawili wa Kionjokoma yatajwa kama ya dharura
Mahakama kuu imetaja kama dharura ombi la Polisi sita kutaka miili ya ndugu wawili waliouawa Kianjokoma, kaunti ya Embu kufufuliwa. […]
Mahakama kuu imetaja kama dharura ombi la Polisi sita kutaka miili ya ndugu wawili waliouawa Kianjokoma, kaunti ya Embu kufufuliwa. […]
Maambukizi mapya 932 ya ugonjwa wa corona yamedhibitishwa nchini baada ya kupima sampuli 9,424. Kiwango cha maambukizi nchini kimeshuka na […]
Naibu rais William Ruto amenyanganywa walinzi wake. Maafisa wa GSU waliokuwa wanalinda makaazi ya Ruto Karen, Nairobi na nyumbani kwake […]
Kamati ya BBI imesema itaunga mkono rufaa ya mwanasheria mkuu Paul Kihara katika mahakama ya upeo kuhusu mchakato wa kurekebisha […]
Maafisa sita wa Polisi wanaohusishwa na mauaji ya ndugu wawili wa Kianjokoma kaunti ya Embu wamewasilisha kesi mahakamani kuzuia kushtakiwa kwao. Kupitia […]
Watu tisa wamefariki baada ya kuangukiwa na mashine ya ujenzi katika eneo la Kilimani, Nairobi. OCPD wa Kilimani Andrew Mbogo […]
Waziri wa Usalama wa ndani Fred Matiang’i ametoa wito kwa vijana kukataa kutumiwa na wanasiasa kuzua vurugu haswa msimu wa […]
Benki ya Equity imekana madai yaliyotolewa na naibu rais William Ruto kwamba ilimpatia mkopo wa shilingi billion kumi na tano […]
Mamlaka ya kumulika utendakazi wa Polisi (IPOA) imeanzisha uchunguzi kufuatia mauji yanayodaiwa kutekelezwa na Polisi wakati wa maandamano mtaani Kahawa […]
Kenya imedhibitisha maambukizi mapya 1,258 ya ugonjwa wa corona baada ya kupima sampuli 9,868. Hii inafikisha 232,052 idadi ya visa […]