Biblia Husema Broadcasting
Biblia Husema Broadcasting
Nairobi 96.7 | Eldoret 96.3 | Nakuru 102.9 | Kisumu 101.5 | Lokichogio 102.5 | Voi 105.3 | Kakuma 90.4 | Marsabit 91.1

Biblia Husema Broadcasting

Faith comes by Hearing, And Hearing by the word of God, Romans 10:17.

Who we are

Biblia Husema Radio is one of leading Christian Radio station in Kenya. By God's grace and support from partners we have achieved a great coverage contrywide and worlwide through our online live stream. Recently we have acquired two frequencies in kenya remote and greatly unreached area Marsabit and Kakuma. We are continually growing thanks to the support and Prayers of both our listeners and partners. Continue supporting us even as we reach the unreached.

Our Partners

These are our partners

Habari

Habari kutoka nchini na za kimataifa.

Mashirika ya binadamu yaishtaki serikali

Mashrika mbalimbali ya kutetea haki za kibinadamu yameishtaki serikali kutokana na madai ya maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi […]

Kinoti amtaka Malala kumwomba msamaha

Mkurungenzi mkuu wa idara upelelezi nchini DCI George Kinoti sasa anamtaka seneta wa Kakamega Cleophas Malala  kuomba msamaha kwa madai […]

Wabunge kuelekea mahakamani kumzuia Rais asivunje bunge

Tume ya huduma za bunge PSC imeapa kuelekea mahakamani kupinga ushauri wa jaji mkuu David Maraga kwa Rais Uuru Kenyatta […]

‘Wanaume wabakaji’ wakamatwa Nakuru

Makachero kutoka idara ya upelezi nchini DCI wamewakamata washukiwa wawili waliombaka kwa zamu mwanamke mmoja hadi akafariki Jumamosi iliyopita kaunti […]