Kenya imejiunga na Ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhulma dhidi ya wanawake.

Aidha hii ni mwanzo wa kampeni ya siku kumi na sita ya kumaliza dhulma za kijinsia katika jamii.

Kampeni hiyo itakamilika tarehe kumi Disemba ambayo itakuwa ni siku ya kimataifa ya haki za kibinadamu.

Lengo kuu la kampeni inalenga kuhakikisha kuwa dhulma za kijinsia zimekamilika miongoni mwa wanawake kufikia mwaka wa 2030.

Imebainika kwamba wale wanaopitia changamoto hizi hawajiokezi kuzungumza.

Umoja wa Mataifa UN unataka kuwepo kwa fedha za kutosha na kuhakikisha kuwa wale walioadhirika  wakati huu wa covid 19 sawa na kuweka mikakati kabambe kuwalinda.

UN inasema kufungwa kwa shule na mipaka kama njia moja ya kukabiliana na covid19 imesababisha ongezeko la dhuluma ya kijinsia kwa sababu watu wengi walipoteza ajira navisa vya mimba za mapema kuongezeka miongoni mwa wanafunzi.

Hata hivyo kulingana na utafiti uliofanya na umoja wa mataifa kabla ya covid 19 imebainika kwamba  wanawake na wasichana milioni 234