Ruto awajibu manyapara wake
Hakuna kazi ambayo nimepatiwa na rais Uhuru Kenyatta na nikakataa kufanya, amejitetea naibu rais William Ruto. Akizungumza alipoendelea na misururu […]
Romans 10:17
Hakuna kazi ambayo nimepatiwa na rais Uhuru Kenyatta na nikakataa kufanya, amejitetea naibu rais William Ruto. Akizungumza alipoendelea na misururu […]
Wafanyikazi wa duka la jumla la Tuskys wameandanana jijini Nairobi na mjini Eldoret kulalamikia kutolipwa mishahara yao kuanzia mwezi Julai […]
Asasi za uchunguzi zimetakiwa kuharakisha uchunguzi na kuwaadhibu waliohusika na wizi wa pesa zilizolenga kupambana na janga la COVID19. Allan Maleche […]
Wafanyikazi wa hospitali ya kitaifa ya Kenyatta (KNH) wametii amri na kusitisha mgomo wao uliodumu kwa siku tatu. Mgomo huo […]
Kesi ambapo chama cha Thirdway Alliance kinataka mahakama kutoa agizo linalomlazimisha rais Uhuru Kenyatta kuufanyia kazi ushauri wa jaji mkuu […]
Idadi ya visa vya ugonjwa wa corona nchini imeongezeka na kufikia 38,529 baada ya watu 151 kupatikana na ugonjwa huo […]
Wakenya wamepoteza takribani shilingi bilioni 2.3 katika mamlaka ya kusambaza dawa na vifaa vya matibabu nchini (KEMSA) Haya ni kwa […]
Wanafunzi wa mwaka wa mwisho katika vyuo vikuu sawa na taasisi za kutoa mafunzo ya kiufundi (TVETS) wametakiwa kuripoti shuleni […]
Chama cha Thirdway Alliance kimewasilisha kesi katika mahakama ya kikatiba kutaka rais Uhuru Kenyatta kulazimishwa kuufanyia kazi ushauri wa jaji […]
Chama cha Jubilee kimemfukuza mbunge mteule David Sankok kutoka kwa kamati ya bunge la kitaifa kuhusu uwiano na nafasi sawa. […]