Muhadhiri wa chuo kikuu cha Nairobi (UoN) Ken Ouko amefariki kutokana na matatizo yanayoambanatana na COVID19 amesema mkurugenzi wa mawasiliano wa chuo hicho John Orindi.

Dr. Uoko amekuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Agha Khan ambako alikuwa amelazwa.

Vice Chansela wa UoN Profesa Stephen Kiama ametaka kifo hicho kama pigo kubwa.

Kiama amesema hadi kufikia sasa, chuo hicho kimewapoteza wafanyikazi wanne kutokana na corona.