ODM mahakamani kupinga ushindi wa ANC Matungu

ODM mahakamani kupinga ushindi wa ANC Matungu

Muwaniaji wa chama cha ODM kwenye uchaguzi mdogo uliokamilika wa Matungu kaunti ya Kakamega David Were amewasilisha kesi mahakamani kupinga ...
Kenya yaripoti maambukizi mapya 460 ya corona

Kenya yaripoti maambukizi mapya 460 ya corona

Kenya imeripoti maambukizi mapya 460 ya corona baada ya kupima sampuli 2,753 katika muda wa saa Ishirini na nne zilizopita. ...
Mwanahabari adhulumiwa na polisi Nakuru

Mwanahabari adhulumiwa na polisi Nakuru

Muungano wa wanahabari nchini KUJ umelalamikia kudhulumiwa kwa mwanahabari mmoja katika kaunti ya Nakuru na maafisa wa polisi. Mwanahabri huyo ...
Serikali yakosolewa katika vita dhidi ya covid19

Serikali yakosolewa katika vita dhidi ya covid19

Miungano ya mashirika ya kijamii imekosoa serikali kutokana na mbinu inayotumia kupambana na maambukizi ya virusi vya corona. Chini ya ...
Mwanaume akamatwa na Laptop za wizi akielekea Uganda

Mwanaume akamatwa na Laptop za wizi akielekea Uganda

Maafisa wa polisi katika kaunti ya Busia wanamzuilia mshukiwa mmoja aliyenaswa akisafirisha vipatakalishi 71 vya wizi kuelekea nchini Uganda. Evans ...