Uchunguzi waanzishwa mtu mmoja akifariki baada ya kuchanjwa

Uchunguzi waanzishwa mtu mmoja akifariki baada ya kuchanjwa

Uchunguzi umeanzishwa kufuatia kufariki kwa mtu mmoja baada ya kuripotiwa kupokea chanjo ya corona ya Astrazeneca. Katika taarifa, bodi ya ...
Kenya na Uingereza watuliza boli kuhusu vikwazo vya usafiri

Kenya na Uingereza watuliza boli kuhusu vikwazo vya usafiri

Kenya na Uingereza wamekubaliana kuunda kamati ya pamoja kuangazia vikwazo vilivyowekwa na mataifa hayo mawili kuzuia msambao wa corona. Uamuzi ...
Matokeo ya KCPE kutoka chini ya wiki mbili

Matokeo ya KCPE kutoka chini ya wiki mbili

Matokeo ya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE yanatarajiwa kutolewa chini ya majuma mawili yajayo. Waziri wa Elimu ...
Bunge la Nairobi lahairisha vikao kwa sababu ya corona

Bunge la Nairobi lahairisha vikao kwa sababu ya corona

Bunge la kaunti ya Nairobi limehairisha vikao vyake kwa muda usiojulikana baada ya kuandikisha maambukizi mengi ya visa vya ugonjwa ...
Amnesty International lapinga kufungwa kwa kambi za Wakimbizi

Amnesty International lapinga kufungwa kwa kambi za Wakimbizi

Huku makataa ya siku 14 yaliyotolewa na serikali ya Kenya kwa shirika la kimataifa la wakimbizi (UNHCR) kutoa mwongozo utakaotumika ...