Ruto amuomboleza Johnny

Ruto amuomboleza Johnny

Naibu rais William Ruto amemuomboleza mwanasiasa Ahmed Ibrahim aliyefahamika na wengi kama Johnny. Ruto amemtaja Johnny kama kiongozi aliyeheshimiwa na ...
UNHRC watoa mwongozo wa kufungwa kwa kambi za Dadaab na Kakuma

UNHRC watoa mwongozo wa kufungwa kwa kambi za Dadaab na Kakuma

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limetoa mwongozo wa kufunga kambi za Dadaab na Kakuma kama lilivyoelekezwa na ...
Wavulana wavamia bweni la wasichana Nakuru

Wavulana wavamia bweni la wasichana Nakuru

Wanafunzi kumi kutoka shule ya upili ya wavulana ya Anestar kaunti ya Nakuru wanazuiliwa na maafisa wa polisi kwa madai ...
Atwoli achaguliwa tena kuongoza COTU

Atwoli achaguliwa tena kuongoza COTU

Francis Atwoli amechaguliwa tena bila kupingwa kuendelea kushikilia wadhfa wa Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini COTU. ...
Margaret Kenyatta asifu mchango wa wauguzi katika kutoa huduma za afya

Margaret Kenyatta asifu mchango wa wauguzi katika kutoa huduma za afya

Mkewe rais Bi. Margaret Kenyatta amepongeza kazi wanaoifanya wauguzi kuhakikisha kwamba umma umepata huduma za afya kwa haraka. Kimsingi, mkewe ...