Uhuru yuko Marekani kwa ziara rasmi

Rais Uhuru Kenyatta yuko mjini New York, Marekani kwa ziara rasmi ya siku mbili. Rais ameratibiwa kuongoza mkutano wa ngazi ...
Read More

Atwoli amtaka Rais Kenyatta kueleza mbona mafuta yamepanda bei

Muungano wa vyama vya wafanyikazi nchini COTU umelaani vikali hatua ya serikali kuongeza bei ya mafuta. Katika taarifa, katibu mkuu ...
Read More

IEBC yampata naibu mwenyekiti mpya

Tume ya uchaguzi na mipaka nchini (IEBC) imemteua Juliana Cherera kuwa naibu mwenyekiti mpya. Mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati ...
Read More

Uhuru amtuma Matiang’i Zambia kupeleka ujumbe maalum

Rais Uhuru Kenyatta amemtuma waziri wa usalama wa ndani Dkt. Fred Matiang’i kupeleka ujumbe maalum kwa rais mpya wa Zambia ...
Read More

Polisi sita wakana mashtaka ya mauji

Maafia sita wa Polisi wameshtakiwa kwa mauji ya ndugu wawili wa Kianjokoma wameshtaka kwa mauji.  Hata hivyo wamekanusha mashtaka mbele ...
Read More