Skip to content
  •   Nairobi, Upperhill, Kenya
  •   0724 699 622 / 0202 728 304
  • facebook
  • twitter
Biblia Husema Broadcasting.

Biblia Husema Broadcasting.

Romans 10:17

  • Home
  • About
  • Programme Guide
  • News
  • Mission Stations
    • Kakuma
    • Marsabit – Chalbi 91.1Fm
    • Lokichogio
  • Contact

Category: Uncategorized

  • Home
  • Uncategorized

Upasuaji mwingine wa kihistoria KNH

October 21, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Upasuaji mwingine wa kihistoria KNH

Madaktari katika hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta wamefaulu kurejesha mkono wa mtoto wa miaka saba aliyekatwa na mashine ya kukata […]

Uncategorized

Aliyekuwa kamishna wa polisi Duncan Wachira amefariki

October 21, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Aliyekuwa kamishna wa polisi Duncan Wachira amefariki

Rais Uhuru Kenyatta ametuma risala zake za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa kamishna wa polisi Duncan Wachira. Katika taarifa, amiri […]

Uncategorized

Wanaotaka kujiunga na NYS sharti wapimwe corona na kupewa vyeti

October 13, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Wanaotaka kujiunga na NYS sharti wapimwe corona na kupewa vyeti

Vijana wanaotaka kujiunga na kundi la vijana (NYS) Novemba mwaka huu wametakiwa kupimwa na kupewa vyeti sahihi vya Corona. Kupitia […]

Uncategorized

Mwanaume aliyemuua mkewe Bomet akamatwa Kericho

October 13, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Mwanaume aliyemuua mkewe Bomet akamatwa Kericho

ROBERT KIPKORIR Tanui mwanaume mwenye umri wa miaka 34 kutoka kijiji cha Seanin kaunti ya Bomet anazuiliwa katika kituo cha […]

Uncategorized

Asilimia sabini ya wazazi wanahofia wanao watapata corona shuleni

October 13, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Asilimia sabini ya wazazi wanahofia wanao watapata corona shuleni

  Asilimia 70% ya wazazi wanaopata kipato cha chini katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi wanahofia kuwa watoto wao watapata virusi […]

Uncategorized

Polisi wajitetea kuhusiana na madai ya mapendeleo katika kuandaa mikutano

October 12, 2020October 12, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Polisi wajitetea kuhusiana na madai ya mapendeleo katika kuandaa mikutano

Inspekta mkuu wa polisi Hillary Mutyambai ametetea idara hiyo kuhusina na shtuma kuwa wanaegemea upande mmoja katika kutekeleza sheria za […]

Uncategorized

Waliotumia mapenzi ya mtandao kuiba wakamatwa

October 12, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Waliotumia mapenzi ya mtandao kuiba wakamatwa

Washukiwa wanne wa genge ambalo limekuwa likiwaibia watu kwa kuwahadaa kupitia kwa mapenzi ya mtandao wanatazamiwa kufikishwa mahakamani hii leo. […]

Uncategorized

‘Wezi wa mabavu wauwawa Nyeri’

October 12, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on ‘Wezi wa mabavu wauwawa Nyeri’

Washukiwa wawili  wa wizi wa mabavu  wameuwawa katika kaunti ya Nyeri na makachero wa idara ya upelelezi wa jinai (DCI […]

Uncategorized

Hatimaye shule zafunguliwa Kenya

October 12, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Hatimaye shule zafunguliwa Kenya

Waziri wa Elimu Profesa George Magoha amewataka walimu katika shule za umma sawia na zile za kibinafsi kutowarudisha nyumbani wanafunzi […]

Uncategorized

Rais Kenyatta atia saini mswada wa ugavi wa mapato

October 8, 2020 Douglas OmaribaLeave a Comment on Rais Kenyatta atia saini mswada wa ugavi wa mapato

Hatimaye serikali za kaunti sasa zitapata mgao wa fedha waliotengewa katika mwaka wa kifedha wa 2020/2021. Hii ni baada ya […]

Uncategorized

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Popular Posts

  • Politics/Siasa Wendani wa Ruto wakutana Jubilee

    Wabunge wapatao 38 wendani wa naibu rais William Ruto wamefanya mkutano wa...

  • Health/ Afya Watu 151 zaidi wakutwa na corona, nne wakifariki

    Idadi ya visa vya ugonjwa wa corona nchini imeongezeka na kufikia 38,529 ba...

  • Uncategorized Rais Uhuru Kenyatta kulihutubia taifa leo

    Rais Uhuru Kenyatta hii leo anatazamiwa kulihutubia taifa kutoa mustakabali...

  • Uncategorized Rais Kenyatta yuko Ufaransa kwa ziara rasmi ya serikali

    Rais Uhuru Kenyatta yuko nchini Ufaransa kwa ziara rasmi ya serikali ambapo...

  • Politics/Siasa Jamii za Shona na Wanubi zataka kutambuliwa

    Tume ya kutetea haki za kibinadamu (KHRC) imeitaka serikali ya Kenya kuwata...

|Donate

We are continually growing our reach to the unreached. We thank the support and Prayers of both our listeners and partners. Our Paybill number is 332550 Account is 967

|Zinarojiri

  • Uchaguzi Msambweni: Sharlet Mariam arudi ODM Muwaniaji huru kwenye uchaguzi mdogo wa Msambweni Sharl... 11 views per day
  • Tathmini: Nini kinafuata baada ya Joe Biden kushinda uchaguzi Marekani? Wengi wanajiuliza, je nini kinafuatia baada ya Joe Bide... 8 views per day
  • Rais Kenyatta awataka watumishi wa umma kuwahudumia wananchi Rais Uhuru Kenyatta amewakumbusha watumishi wa umma kuw... 8 views per day

|Address

P.O Box 45019-00100 UpperHill, Nairobi

Phone : 0202 728 304, 0724 699 622

Email : info@bibliahusema.org,                                          marketing@bibliahusema.org

|Links

  • Staff Login
  • facebook
  • twitter