Serikali yakana inapanga kuongeza karo ya vyuo vikuu (Audio)
Serikali imekanusha ripoti kuwa ina mipango ya kuongeze karo ya vyuo vikuu kutoka shilingi elfu 16,000 hadi shilingi 48,000. Katibu […]
Serikali imekanusha ripoti kuwa ina mipango ya kuongeze karo ya vyuo vikuu kutoka shilingi elfu 16,000 hadi shilingi 48,000. Katibu […]
Wanafunzi wote watarejea shuleni tarehe nne Janauri mwaka ujao kwa muhula wao wa pili. Tangazo hili limetolewa na Waziri wa […]
Mtu mmoja ameaga dunia na wengine wanne kujehuriwa katika ajali ya barabara iliyotokea mapema hii leo katika eneo la Kapiti, […]
Naibu Rais William Ruto ameonekana kuuunga mkono viongozi kutoka jamii ya wafugaji, baraza la kidini nchini NCCK, baadhi ya makundi […]
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu sasa wanasema wanaipinga ripoti ya BBI na wanawataka wakenya kuiangusha. Vijana hao […]
Mwakilishi Mkuu wa miundo msingi katika muungano wa AU Raila Odinga ameondoka nchini kueleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa […]
Maafisa wa polisi wamewakamata baadhi ya abiria na wamiliki wa matatu katika kaunti ya Mombasa mapema hii leo kwa kukosa […]
Bunge la kaunti ya Mombasa limefungwa kwa muda wa majuma mawili baada ya waakilishi wadi watatu kupatikana na virusi vya […]
Aliyekuwa katibu katika wizara ya vijana na jinsia Lillian Omollo atalipwa shilingi moja na serikali kwa kumuachisha kazi. Ndio agizo […]
Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa chama cha ODM Raila Odiga kwa sasa wanafanya mkutano wa faragha na baadhi ya […]