Mchungaji aliyewabaka na kuwapachika mimba binti zake ahukumiwa miaka 140 gerezani
Mwanaume aliyekiri kuwabaka na kuwapachika mimba binti zake wawili katika eneobunge la Ndia kaunti ya Kirinyaga amehukumiwa kifungo cha miaka […]
Mwanaume aliyekiri kuwabaka na kuwapachika mimba binti zake wawili katika eneobunge la Ndia kaunti ya Kirinyaga amehukumiwa kifungo cha miaka […]
Shule ya wasichana ya Lugulu kaunti ya Bungoma imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kuandamana kulalamikia madai ya ubakaji […]
Mwanafunzi mmoja wakike kutoka shule moja ya upili iliyoko mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu anauguza majeraha katika hosipitali moja […]
Mwanamme mmoja amelazwa katika hospitali ya Rapcom huko Awendo, kaunti ya Migori baada ya mkono wake kukatwa kwa panga kufuatia […]
Kenya imejiunga na Ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhulma dhidi ya wanawake. Aidha hii ni mwanzo wa kampeni […]
Waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007/008 wameandikisha taarifa katika makao makuu ya idara ya upelelezi […]
Makachero kutoka idara ya upelelezi DCI wamewashika washukiwa wawili kuhusiana na mauaji ya jamaa mmoja ambaye mwili wake ulipatikana kando […]
Nancy Njeri, Polisi wa kike kutoka Makueni anayedaiwa kumjeruhi wakili Onesmus Masaku kwa kumkata mikono na kusababisha kifo chake atazuiliwa […]
Mwanamke mmoja amekamatwa kwa madai ya kujaribu kumuuza mwanawe mchanga katika eneo la Mlolongo, kaunti ya Machakos. Naibu kaunti kamishna […]
Viongozi mbali mbali katika kaunti ya Makueni wanaendelea kulaani kisa kilichopelekea kifo cha wakili Onesmus Masaku. Wakizungumza katika sherehe […]