Uhuru, Ruto, Raila wamuomboleza Waweru
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamemuomboleza mkurugenzi mkuu wa chama cha Jubilee James Waweru aliyefariki leo akipokea […]
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamemuomboleza mkurugenzi mkuu wa chama cha Jubilee James Waweru aliyefariki leo akipokea […]
Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC imemtangaza Agnes Kavindu wa chama cha Wiper kama mshindi wa uchaguzi mdogo wa useneta […]
Wapiga kura Machakos wanaelekea debeni Alhamisi hii kumchagua seneta wao huku tume ya uchaguzi na mipaka (IEBC) ikisema kila kitu […]
Muwaniaji wa chama cha Maendeleo Chap Chap katika uchaguzi mdogo wa useneta katika kaunti ya Machakos amejiondoa kutoka kinyanganyiro hicho. […]
Makamu wa rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kuwa rais John Pombe Magufuli anawasalimia sana Watanzania na anawasihi waendelee kuchapa […]
Mwaka mmoja tangu Kenya kurekodi kisa cha kwanza cha virusi vya corona, Rais Uhuru Kenyatta katika hotuba kwa taifa kutoka […]
Naibu rais William Ruto ameendelea kujipigia debe kumrithi rais Uhuru Kenyatta akisema yuko tayari kupambana na yeyote wakati wa uchaguzi […]
Shirika la Haki Afrika linapendekeza kuhairishwa kwa uchaguzi mkuu wa 2022 kutokana na janga la COVID19. Mkurugenzi mkuu wa shirika […]
Naibu rais William Ruto ametoa changamoto kwa idara ya mahakama kufanya kazi kwa uhuru kama ilivyo kikatiba pasipo kuingiliwa na […]
Mbunge wa Kabuchai Simiyu Kalasinga Majimbo ameapishwa rasmi kuanza majukumu yake baada ya kutangazwa mshindi kwenye uchaguzi mdogo ulioandaliwa Machi […]