Anne Kananu ndiye naibu gavana wa Nairobi
Anne Kananu Mwenda ameapishwa rasmi kuwa naibu gavana wa kaunti ya Nairobi dakika chache baada ya kuidhinishwa na bunge la […]
Anne Kananu Mwenda ameapishwa rasmi kuwa naibu gavana wa kaunti ya Nairobi dakika chache baada ya kuidhinishwa na bunge la […]
Wawaniaji mbalimbali katika kiti cha Useneta kaunti ya Machakos wameelewana kuwa watamuunga mkono Urbanus Mutunga Ngengele baada ya kushawishiwa na […]
Muungano wa mawakili (ICJ) tawi la Kenya umetangaza kuwa kupinga marekebisho ya katiba kupitia kwa BBI. Katika taarifa, mwenyekiti wa […]
Agnes Kavindu ndiye atapeperusha bendera ya chama cha Wiper katika uchaguzi mdogo wa useneta kaunti ya Machakos. Akizungumza alipomkabidhi cheti, […]
Chama tawala cha Jubilee kimesema hakitakuwa na mgombea katika kiti cha useneta kaunti ya Machakos pamoja na maeneo bunge ya […]
Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amemsuta naibu rais William Ruto kutokana na kile ametaja kama kuwahadaa Wakenya. Odinga […]
Baadhi ya wabunge wa chama cha Amani National Congress (ANC) kinachoongozwa na Musalia Mudavadi wamemkashifu naibu rais Wiliam Ruto kwa […]
Rais Uhuru Kenyatta amezindua miradi ya maendeleo katika kaunti ya Mombasa anapolenga kuhakikisha kuwa maendeleo yamefika mashinani. Akiwa ameandamana na […]
Hatimaye saini za BBI zilizokusanywa wiki iliyopita zimewasilishwa kwa tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kwa ukaguzi. Mwenyekiti wa […]
Serikali inajikakamua kuweka mikakati kabambe kuzuia ufisadi katika asasi mbalimbali za serikali. Hili ndilo hakikisho linalotolewa na rais Uhuru Kenyatta […]